Tabia 8 za Wanawake wa Kenya ambazo zinaudhi sana
-Karne ya 21 ni wakati wa uhuru, au uchoyo kwa kuzingatia utakavyouita -Wanawake wa Kenya wanaweza kushtua wanaume kutokana na tabia yao Wanawake wa Kikenya ni wa ajabu, warembo, huru na wanajua wanachotaka, lakini kuna baadhi ya mambo ambayo hufanya ambayo yanaudhi wanaume, hasa katika uhusiano.