Kahaba akamatwa kwa kumuibia bastola mlinzi wa DP Ruto
- Mlinzi huyo ambaye hakutajwa anasemekama alimchukua mshukiwa kutoka barabara ya Moi Avenue, Mombasa majira ya asubuhi na kuingia naye katika makazi ya Naibu Rais - Kazungu anadaiwa aliiba simu ya rununu yenye thamani ya KSh 1,200, bastola aina ya Ceska yenye usajili E1546 ambayo ilikuwa na risasi 15